• Malalamiko |
    • MAWASILIANO |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Kaliua District Council
Kaliua District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu, na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Usafi wa Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Legal Unity
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Fursa za Uwekezaji

Maji


IDARA YA MAJI NA UDHIBITI TAKA MAJI

  • Utangulizi

Idara ya Maji na Udhibiti taka maji ni Idara inayoshughulika na utoaji na usimamizi wa huduma ya Maji katika Halmashauri ikiratibu utekelezaji wa Mipango ya Halmashauri katika sekta ya maji.

  • Shughuli zilizopangwa kufanyika mwezi Januari hadi Machi 2017
  • Utekelezaji wa miradi ya maji kupitia ruzuku toka serikali kuu
  • Utafiti na uchimbaji wa visima virefu vinne vijiji vya Ilege, Konanne, Mpandamlowoka na Kazaroho Tsh. 72,000,000.00
  • Ujenzi wa matenki mawili (2) ya kuvunia maji ya mvua yenye ujazo wa lita 50,000 katika shule za sekondari Uyowa na Mkindo Tsh. 18,000,000.00
  • Ujenzi wa tenki moja chini ya ardhi la kuvunia maji ya mvua lenye ujazo wa lita 100,000 katika shule ya sekondari Kaliua Tsh. 18,000,000.00
  • Utekelezaji wa miradi ya maji kupitia Programu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RWSSP)
  • Utafiti wa vyanzo vya maji na ujenzi wa skimu za maji vijiji vya Ukumbisiganga, Uyumbu, Limbula, Mwendakulima, Nsungwa, Imalamihayo, Ulindwanoni, Zugimlole, Ichemba, Sasu, Seleli, Ibambo, Kanoge na King’wangoko Tsh. 502,102,156.00
  • Upanuzi wa miradi ya maji ya vijiji vya Uhindi na Kashishi Tsh. 25,000,000.00
  • Kuendesha mafunzo na uanzishaji wa Jumuiya za watumia maji Tsh. 12,016,000.00
  • Kufanya ufuatiliaji wa uendeshaji na usimamizi wa miradi ya maji iliyopo
  • Ukusanyaji na uwasilishaji wa takwimu za kila mwezi za vituo vya kutolea huduma ya maji vijijini kupitia mpango wa PbR
  • Kazi za ukaguzi wa uharibifu wa miundombinu ya maji na kufanya matengenezo
  • Kazi zilizotekelezwa kipindi cha mwezi Januari hadi Machi 2017
  • Miradi ya Ruzuku ya Serikali kuu
  • Ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa matenki ya maji ya mvua sekondari za Uyowa na Mkindo unaendelea kwa force akaunti.

Ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa tenki la maji ya mvua sekondari ya Kaliua unaendelea kwa force akaunti.

Kazi ya utafiti na uchimbaji wa visima inasubiri mapokezi ya fedha.

  • Miradi ya RWSSP
  • Kazi inayoendelea ni ya kufanya utafiti na upembuzi wa awali wa kupata maeneo ya ujenzi wa mabwawa ya kuhifadhi maji ya mvua kama vyanzo mbadala wa vyanzo vya maji kutokana na ugumu wa upatikanaji wa visima virefu vya uhakika.
  • Uendeshaji wa mafunzo kwa ajili ya uanzishaji wa Jumuiya za watumia maji umefanyika na kukamilika katika vijiji 8 vya Imalamihayo, Usimba(Usimba), Ulindwanoni, Kasungu, Kazanaupate, Usindi, Maboha na Kashishi.
  • Ufuatiliaji wa Uendeshaji na usimamizi wa mradi wa  maji Tuombemungu na Uhindi umefanyika kwa kushirikiana na Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa.
  • Kazi ya ukusanyaji na kuwasilisha takwimu za vituo vya huduma ya maji katika mpango wa PbR imeendelea.
  • Kazi za ukaguzi wa uharibifu wa miundombinu ya maji na kufanya matengenezo katika baadhi ya miradi imefanyika kama ifuatavyo:
  • Matengenezo ya visima vya pampu 3 za mkono kijiji cha Ulindwanoni
  • Kulowa pampu ya mkono iliyotumbukia kijiji cha Ugunga, matengenezo yanasubiri upatikanaji wa vipuri
  • Kukagua miundombinu ya pampu za mikono 4 kijiji cha Usimba(Usimba), matengenezo yanasubiri upatikanaji wa vipuri
  • Kazi zitakazotekelezwa robo mwaka ijayo Aprili hadi Juni 2017
  • Miradi ya Ruzuku ya Serikali kuu
  • Ukamilishaji wa ujenzi wa matenki ya maji ya mvua sekondari za Uyowa na Mkindo.

Ukamilishaji wa ujenzi wa tenki la maji ya mvua sekondari ya Kaliua unaendelea kwa force akaunti.

Utafiti na uchimbaji wa visima virefu vinne vijiji vya Ilege, Konanne, Mpandamlowoka na Kazaroho

  • Miradi ya RWSSP
  • Kukamilisha utafiti na upembuzi wa awali wa kupata maeneo ya ujenzi wa mabwawa ya kuhifadhi maji ya mvua kama vyanzo mbadala wa vyanzo vya maji kutokana na ugumu wa upatikanaji wa visima virefu vya uhakika.
  • Uendeshaji wa mafunzo kwa ajili ya uanzishaji wa Jumuiya za watumia maji mpya .
  • Ufuatiliaji wa Uendeshaji na usimamizi wa miradi ya maji iliyopo
  • Kazi ya ukusanyaji na kuwasilisha takwimu za vituo vya huduma ya maji katika mpango wa PbR.
  • Kazi za ukaguzi wa uharibifu wa miundombinu ya maji na kufanya matengenezo katika miradi mbalimbali vijijini
  •  
  •  
  •  
  • Ikama ya Idara
    • IKAMA YA WATUMISHI IDARA YA MAJI NA UDHIBITI TAKA MAJI
    • S/N
    • CHEO
    MAHITAJI
    WALIOPO
    PUNGUFU
    • 01
    MHANDISI WA MAJI (W)
    • 1
    • 0
    • 1
    • 02
    MHANDISI WA MAJI II
    • 3
    • 1
    • 2
    • 03
    MHANDISI MAZINGIRA II
    • 1
    • 0
    • 1
    • 04
    MHANDISI AFYA YA JAMII II
    • 1
    • 0
    • 1
    • 05
    FUNDI SANIFU MAJI II
    • 6
    • 3
    • 3
    • 06
    FUNDI SANIFU MITAMBO (WATER PUMPS)
    • 1
    • 0
    • 1
    • 07
    FUNDI SANIFU MITAMBO (UMEME)
    • 1
    • 0
    • 1
    • 08
    FUNDI SANIFU MSAIDIZI MAJI (PLUMBING)
    • 4
    • 2
    • 2
    • 09
    DEREVA
    • 1
    • 1
    • 0

    • Changamoto
    • Utekelezaji wa mipangokazi ya utekelezaji wa shughuli zinazopangwa umekuwa ukikabiliwa na changamoto kubwa zifuatazo:
    • Upungufu wa vyombo vya usafiri
    • Mfumo wa malipo kutofanya kazi kwa ufanisi, hivyo kuchelewesha upatikanaji wa mahitaji.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI KALIUA DC MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II November 17, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • Ona zote

Habari za Hivipunde

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA DEREVA WA MTAMBO DARAJA LA II {GREDA} NAFASI 01

    May 04, 2025
  • MNADA WA KWANZA WA ZAO LA KARANGA WILAYA YA KALIUA

    March 24, 2025
  • MADIWANI KALIUA WAPITISHA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA BAJETI YA BILION 50.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    January 30, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA KUPITIA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII IMETOA HUNDI YA TSH. 302,000,000/=

    December 23, 2024
  • Ona zote

Video

Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Kaliua 2018
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mwanzo
  • TAMISEMI
  • Huduma
  • Historia
  • Fursa za Uwekezaji
  • UTUMISHI

Kurasa zinazofanana

  • Salary Slips Portal
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya RC Tabora
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti za Serikali
  • Baraza la Mitihani - NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

MAWASILIANO

    Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni

    Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua

    Simu: +255262965676/9

    Dawati la Uwekezaji:

    Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz

Dawati la Malamiko

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Service

Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua