• Malalamiko |
    • MAWASILIANO |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Kaliua District Council
Kaliua District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu, na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Usafi wa Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Legal Unity
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Fursa za Uwekezaji

WAZIRI MKUU AIPONGEZA KALIUA

Posted on: August 13th, 2017

Katika ziara yake ya siku moja wilayani Kaliua iliyofanyika Augosti 11, Waziri Mkuu alipata fursa kukagua miradi ya maendeleo, kuzungumza na wafanyakazi wa halmashauri na kuhutubia mikutano ya hadhara.




Akizungumza na wafanyakazi wa wilaya ya Kaliua Mh. Majaliwa amewataka wafanyakazi kufanya kazi kwa ubununifu, uadilifu, uaminifu na kuhudumia  wananchi wote bila kujali itikadi zao.

“Dhamira ya serikali ni kuhakikisha inatoa huduma bora kwa wananchi katika kila Nyanja, hivyo kila mfanyakazi hana budi kuwa na mpango mkakati wa kila siku ili tuweze kutekeleza filosofia ya Mh. Rais ya HAPA KAZI TU kwa vitendo”.

Pia Mh. Waziri Mkuu aliwaeleza wafanyakazi juu ya dhamira ya serikali ya kuboresha stahiki zao; ikiwemo kuwalipa madeni na kuahidi kuwa serikali iko mbioni kupandisha madaraja kwa wafanyakazi wanaostahiki.

Mh. Waziri Mkuu ameupongeza uongozi wa Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji na Madiwani kwa kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato ya ndani ( katika mwaka 2016/17 halmashauri imekusanya 108% ya lengo ililojiwekea). Kwa upande mwingine Waziri mkuu amefurahishwa na usimamizi wa jengo la  Mkurugenzi wa Halmashauri na kuahidi kuiletea halmashauri pesa nyingene haraka kwa ajili kuendeleza miradi ya maji na barabara takriban kilometa 7 za hapa mjini Kaliua.

Katika mikutano ya hadhara aliyoifanya Ulyankulu na Kaliua Waziri Mkuu amekemea vikali juu ya Mauaji yaliyoifanya Kaliua kuongoza kitaifa jambo ambalo ni hatari na itadhoofisha ustawi kimaendeleo.

“Kaliua ni wilaya ambayo inakua kwa kasi kimaendeleo haya serikali haitawavumilia wanaohusika na mauaji haya” alisema Waziri Mkuu na kutoa wito kwa wananchi kutunza mazingira na kusitisha uvamizi wa hifadhi kwani kwa sasa serikali inaendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya vijiji na hifadhi na itatoa maelekezo pindi zoezi hilo litakapokamilika.

Kuhusu Tumbaku..

Tumbaku ni moja kati ya mazao makubwa matano ikiwemo kahawa, chai, pamba na korosho japokuwa wakulima wahawanufaiki kiuchumi.

“Serikali ya awamu ya tano imechukua hatua madhubuti katika korosho na tumefanikiwa. Sasa tumehamia katika tumbaku: tunaendelea kuwashughulikia wote waliokuwa wakiwahujumu wakulima na wengine tayari wapo ndani (rumande)” alisema.

Aliwaeleza wananchi kua kuanzia sasa bodi ya tumbaku na wetcu zimevunjwa na kutakua na wetcu mbili moja itakua karibu zaidi na wakulima wa Urambo na Kaliua na nyingine itashughulikia wilaya za Uyui, Sikonge na Nzega.

Pia kuanzia sasa ni marufuku tumbaku kununuliwa kwa dola kwa ni sehemu nyingine ambayo imewauiza wananchi kwa kiasi kikubwa. Sambamba na hilo ameonya walanguzi wa vishada kwa mauzo yote ya tumbaku yatafanyika katika AMCOS ambazo zitashirikiana kwa karibu na maafisa kilimo na maafisa ushirika tangu hatua za awali za kilimo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI KALIUA DC MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II November 17, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • Ona zote

Habari za Hivipunde

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA DEREVA WA MTAMBO DARAJA LA II {GREDA} NAFASI 01

    May 04, 2025
  • MNADA WA KWANZA WA ZAO LA KARANGA WILAYA YA KALIUA

    March 24, 2025
  • MADIWANI KALIUA WAPITISHA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA BAJETI YA BILION 50.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    January 30, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA KUPITIA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII IMETOA HUNDI YA TSH. 302,000,000/=

    December 23, 2024
  • Ona zote

Video

Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Kaliua 2018
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mwanzo
  • TAMISEMI
  • Huduma
  • Historia
  • Fursa za Uwekezaji
  • UTUMISHI

Kurasa zinazofanana

  • Salary Slips Portal
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya RC Tabora
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti za Serikali
  • Baraza la Mitihani - NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

MAWASILIANO

    Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni

    Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua

    Simu: +255262965676/9

    Dawati la Uwekezaji:

    Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz

Dawati la Malamiko

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Service

Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua