• Malalamiko |
    • MAWASILIANO |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Kaliua District Council
Kaliua District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu, na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Usafi wa Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Legal Unity
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Fursa za Uwekezaji

WAZIRI GWAJIMA AZINDUA USIMBA SEKONDARI

Posted on: October 24th, 2024

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Watu wenye mahitaji maalumu Mh. Dkt. Dorothy Gwajima amefanaya uzinduzi wa shule ya Mpya ya Sekondari Usimba iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua  Uzinduzi huo umefanyika tarehe 22/10/2024.

Akizungumza katika uzinduzi huo Waziri Gwajima amesema ujenzi wa shule ya Usimba ulikua ni mpango wa Wananchi wa Kata ya Usimba kwa kushirikiana na Halmashauri.

“Kama tulivyosikia kutoka kwa msoma taarifa, Wanachi hawa walikua na muhali wa kujenga Shule hii na hivyo wakapata uwezeshaji mkubwa kutoka kwa Serikali ya awamu ya sita hadi tunaiona Shule hii katika hatua hii fedha kiasi cha shilingi 653,890,562/= zimetumika ‘’

Aidha Dkt. Gwajima amesema Serikali ipo kwenye mpango wa kuleta Shilingi 500,000,000/= kwa ajili ya ujenzi wa Mabweni, Nyumba za Walimu Pamoja na Madarasa mengine

‘’hivyo ndugu zangu nimekuja hapa kama Waziri wa maendeleo ya Jamii nimefurahi kile ambacho wanachi wamekiazinsha kimefanya Serikali yao iwaunge mkono nimeona Madaraa, nimeona Maabara nimeona miundombinu Mizuri na hivyo naamini baada ya miaka miwili hapa patakua tofauti sana”

Akizungumza kwa niaba ya Wanachi wa Wilaya ya Kaliua Mh. Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Dkt.Gelard Mongella amesema uwepo wa shule hiyo katika Kata hii ya Usimba umerahisisha Watoto wa Maeneo hayo kupata huduma ya elimu kwa karibu kwani klabla walikua wanatembe umbali mrefu hadi kata Jirani ya Kazaroho Kwenda kusoma.

Ikumbukwe shule ya sekondari ya Usimba ilianza kujengwa mwaka 2022 kwa nguvu za Wananchi kwa kutoa eneo la ujenzi lenye ukubwa wa hekari 33 lenye  thamani ya shilingi 300, 300,000/=.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI KALIUA DC MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II November 17, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • Ona zote

Habari za Hivipunde

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA DEREVA WA MTAMBO DARAJA LA II {GREDA} NAFASI 01

    May 04, 2025
  • MNADA WA KWANZA WA ZAO LA KARANGA WILAYA YA KALIUA

    March 24, 2025
  • MADIWANI KALIUA WAPITISHA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA BAJETI YA BILION 50.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    January 30, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA KUPITIA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII IMETOA HUNDI YA TSH. 302,000,000/=

    December 23, 2024
  • Ona zote

Video

Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Kaliua 2018
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mwanzo
  • TAMISEMI
  • Huduma
  • Historia
  • Fursa za Uwekezaji
  • UTUMISHI

Kurasa zinazofanana

  • Salary Slips Portal
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya RC Tabora
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti za Serikali
  • Baraza la Mitihani - NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

MAWASILIANO

    Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni

    Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua

    Simu: +255262965676/9

    Dawati la Uwekezaji:

    Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz

Dawati la Malamiko

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Service

Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua