• Malalamiko |
    • MAWASILIANO |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Kaliua District Council
Kaliua District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu, na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Usafi wa Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Legal Unity
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Fursa za Uwekezaji

WADAU WACHANGIA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KALIUA.

Posted on: July 11th, 2018

Mkuu wa wilaya ya kaliua Mh. ABEL BUSALAMA leo amepoke mifuko ya simenti 200 kutoka katika kampuni ya ununuzi wa Tumbaku “ALLIANCE ONE – Tanzania Ltd”  kwa ajili ya shughuli za ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kaliua. Mifuko hiyo imekabidhiwa na mwakilishi wa Kampuni hiyo Bw. Deogratius Liso ikiwa ni moja ya misaada ambayo Kampuni hiyo imeahidi kusaidia katika wilaya ya Kaliua.

Akikabidhi mifuko hiyo mwakilishi wa “ALLIANCE ONE – Tanzania Ltd”         Bw. Deogratius Liso alitoa shukrani kwa niaba ya kampuni kwa ushirikiano uliopo baina ya Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua na Kampuni hiyo katika uzalishaji bora wa zao la Tumbaku kwa wakulima wa eneo hilo. Pia mkuu wa wilaya ya kaliua Mh. ABEL BUSALAMA aliishukuru kampuni hiyo na kusema kwamba serikali imepokea msaada huo kwa dhati kabisa na kuahidi kutoa ushirikiano wa hali ya juu na kampuni hiyo .

Pia katika makabidhiano hayo Mkuu wa Wilaya aliambatana na viongozi Mbali mbali wakiwemo Viongozi mbalimbali ngazi ya vijiji hadi wilaya wa Chama Cha Mapinduzi, Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kaliua (Dkt John M. Pima) na Mwenyekiti wa Halmshauri ya Kaliua (Mh. Haruna Kasele). Makabidhiano hayo yamefanyika leo tarehe 11.07.2017 siku ya jumatano saa 5:00 asubuhi  katika Hospitali ya Wilaya ya Kaliua eneo ambalo linaendelea na ujenzi wa majengo mbalimbali ikiwemo Wodi ya kinamama na jengo la OPD.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI KALIUA DC MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II November 17, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • Ona zote

Habari za Hivipunde

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA DEREVA WA MTAMBO DARAJA LA II {GREDA} NAFASI 01

    May 04, 2025
  • MNADA WA KWANZA WA ZAO LA KARANGA WILAYA YA KALIUA

    March 24, 2025
  • MADIWANI KALIUA WAPITISHA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA BAJETI YA BILION 50.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    January 30, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA KUPITIA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII IMETOA HUNDI YA TSH. 302,000,000/=

    December 23, 2024
  • Ona zote

Video

Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Kaliua 2018
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mwanzo
  • TAMISEMI
  • Huduma
  • Historia
  • Fursa za Uwekezaji
  • UTUMISHI

Kurasa zinazofanana

  • Salary Slips Portal
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya RC Tabora
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti za Serikali
  • Baraza la Mitihani - NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

MAWASILIANO

    Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni

    Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua

    Simu: +255262965676/9

    Dawati la Uwekezaji:

    Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz

Dawati la Malamiko

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Service

Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua