Friday 17th, January 2025
@KALIUA
TAREHE |
MUDA |
UMBALI Km |
TUKIO |
MAHALI |
MHUSIKA |
24/04/2018
|
11:00- 12:30 ASB
|
0 |
MSAFARA WA VIONGOZI KUELEKEA ENEO LA MAPOKEZI
|
KIJIJI CHA UGANSA
|
MKUU WA WILAYA
|
12:30 - 2:00 ASB
|
0 |
BURUDANI NA SHAMRASHARA ZA MAPOKEZI YA MWENGE
|
KIJIJI CHA UGANSA
|
VIKUNDI VYA BURUDANI
|
|
2:00 - 2:30 ASB
|
0 |
ITIFAKI YA MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU
|
KIJIJI CHA UGANSA
|
MKUU WA MKOA WA KIGOMA NA MKUU WA MKOA WA TABORA
|
|
2:30 - 3:00 ASBH
|
0 |
ITIFAKI YA MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU
|
KIJIJI CHA UGANSA
|
MKUU WA MKOA TABORA NA MKUU WA WILAYA YA KALIUA
|
|
3:00 - 3:30 ASB
|
0 |
UJUMBE WA MWENGE
|
KIJIJI CHA UGANSA
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
3:30 - 4:00 ASB
|
0 |
CHAI
|
KIJIJI CHA UGANSA
|
MKUU WA WILAYA
|
|
4:00 - 4:40 ASB
|
47 |
MWENGE WA UHURU KUELEKEA KIJIJI CHA MTAKUJA MAGHARIBI
|
KIJJIJI CHA MTAKUJA MAGHARIBI
|
MKUU WA WILAYA
|
|
4:40 - 4:50 ASB
|
0.5 |
WANANCHI KUKIMBIZA MWENGE WA UHURU KIJIJI CHA MTAKUJA MAGHARIBI
|
KIJJIJI CHA MTAKUJA MAGHARIBI
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
4:50 – 4:55
|
2 |
MWENGE WA UHURU KUELEKEA KIJIJI CHA MTAKUJA MASHARIKI
|
KIJIJI CHA MTAKUJA MASHARIKI
|
MKUU WA WILAYA
|
|
4:55 - 5:05 ASB
|
0 |
MWENGE WA UHURU KUWEKA JIWE LA UZINDUZI WA JENGO LA MASHINE YA KUBANGUA KARANGA
|
KIJIJI CHA MTAKUJA MASHARIKI
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
5:05 - 5:20 ASB
|
10 |
MWENGE WA UHURU KUELEKEA KIJIJI CHA IMALAMPAKA
|
KIJIJI CHA IMALAMPAKA
|
MKUU WA WILAYA
|
|
5:20 - 5:25 ASB
|
0 |
WANANCHI KUKIMBIZA MWENGE WA UHURU KIJIJI CHA IMALAMPAKA
|
KIJIJI CHA IMALAMPAKA
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
5:25 - 5:45 ASB
|
15 |
MWENGE WA UHURU KUELEKEA KITUO CHA AFYA KALIUA
|
KITUO CHA AFYA KALIUA
|
MKUU WA WILAYA
|
|
5:45 - 5:55 ASB
|
0 |
MWENGE WA UHURU KUWEKA JIWE LA MSINGI, UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI KITUO CHA AFYA KALIUA
|
KITUO CHA AFYA KALIUA
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
5:55 - 6:00 ASB
|
1 |
MWENGE WA UHURU KUELEKEA SHULE YA SEKONDARI KALIUA
|
SHULE YA SEKONDARI KALIUA
|
MKUU WA WILAYA
|
|
6:00 - 6:10 ASB
|
0 |
MWENGE WA UHURU KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BWENI LA WANAFUNZI WAVULANA SHULE YA SEKONDARI KALIUA
|
SHULE YA SEKONDARI KALIUA
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
6:10 - 6:40 MCHANA
|
0 |
SALAMU ZA MWENGE WA UHURU
|
SHULE YA SEKONDARI KALIUA
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
6:40 – 6;45 MCHANA
|
0.5 |
MWENGE WA UHURU KUELEKEA KWENYE MRADI WA UJENZI WA MAGHALA YA KUHIFADHI NA KUSINDIKA MAZAO KWA NDUGU JUMANNE LUSABA.
|
MJI MWEMA- KALIUA
|
MKUU WA WILAYA
|
|
6:45 – 6:55 MCHANA
|
0 |
MWENGE WA UHURU KUWEKA JIWE LA UZINDUZI MAJENGO YA MAGHALA YA KUHIFADHI NA KUSINDIKA MAZAO KWA NDUGU JUMANNE LUSABA
|
MJI MWEMA- KALIUA
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
6:55- 7:00 MCHANA
|
0.5 |
MWENGE WA UHURU KUELEKEA STENDI YA MABASI
|
MJI MWEMA- KALIUA
|
MKUU WA WILAYA
|
|
7:00 – 7:10 MCHANA
|
0 |
MWENGE WA UHURU KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA STENDI YA MABASI, EGESHO LA MAROLI NA BANDA LA WASAFIRI
|
STENDI YA MABASI
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
7:10 – 7:20 MCHANA
|
0 |
UJUMBE WA MWENGE
|
STENDI YA MABASI
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
7:20 – 7:25 MCHANA
|
0 |
WANANCHI KUKIMBIZA MWENGE WA UHURU
|
STENDI YA MABASI
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
7:25 – 7:35 MCHANA
|
5 |
MWENGE WA UHURU KUELEKEA KWENYE MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA KIWANGO CHA LAMI KM 1 KIJIJI CHA KALIUA MAGHARIBI
|
KIJIJI CHA KALIUA MAGHARIBI
|
MKUU WA WILAYA
|
|
7:35 – 7:45 MCHANA
|
0 |
MWENGE WA UHURU KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KIWANGO CHA LAMI KM 1 KIJIJI CHA KALIUA MAGHARIBI
|
KIJIJI CHA KALIUA MAGHARIBI
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
7:45 – 7:50 MCHANA
|
0 |
MWENGE WA UHURU KUELEKEA OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
|
KIJIJI CHA KALIUA MAGHARIBI
|
MKUU WA WILAYA
|
|
7:50 – 8:00 ALASRI
|
0 |
MWENGE WA UHURU KUWEKA JIWE LA UZINDUZI WA OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
|
KIJIJI CHA KALIUA MAGHARIBI
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
8:00 – 9:30 ALASIRI
|
0 |
CHAKULA CHA MCHANA
|
OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
|
MKUU WA WILAYA
|
|
9:30 – 9:40 ALASRI
|
4 |
MWENGE WA UHURU KUELEKEA KWENYE ENEO LA MKESHA NA KUKAGUA MABANDA KALIUA MJINI
|
UWANJA WA KOLIMBA
|
MKUU WA WILAYA
|
|
9:40 - 9:50 ALASRI
|
0 |
MWENGE WA UHURU KUKAGUA BANDA LA UPIMAJI WA UKIMWI/VVU, MARALIA, WAPINGA RUSHWA, MADAWA YA KULEVYA NA BANDA LA VIJANA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI.
|
UWANJA WA KOLIMBA
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
9:50 -10:05 JIONI
|
0 |
MWENGE WA UHURU KUKAGUA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU NA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI
|
UWANJA WA KOLIMBA
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
10:05 - 10:35 JIONI
|
0 |
RISALA YA UTII
|
UWANJA WA KOLIMBA
|
MKUU WA WILAYA
|
|
10:35 - 11:00 JIONI
|
0 |
UJUMBE WA MWENGE
|
UWANJA WA KOLIMBA
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA
|
|
11:00 - 2:00 USIKU
|
0 |
BURUDANI MBALIMBALI
|
UWANJA WA KOLIMBA
|
MKUU WA WILAYA
|
|
2:00 - 3:00 USIKU
|
0 |
CHAKULA
|
UWANJA WA KOLIMBA
|
MKUU WA WILAYA
|
|
3:00 - 11:00 ALFAJIRI
|
0 |
MKESHA/MAPUMZIKO
|
UWANJA WA KOLIMBA
|
MKUU WA WILAYA
|
|
25/04/2018
|
11:00 - 11:30 ALFAJIRI
|
0 |
CHAI
|
UWANJA WA KOLIMBA
|
VIKUNDI VYA BURUDANI
|
11:30 - 12:00 ASB
|
0 |
VIKUNDI VYA BURUDANI KUELEKEA ENEO LA MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU
|
UWANJA WA KOLIMBA
|
VIKUNDI VYA BURUDANI
|
|
12:00 - 1:00 ASB
|
0 |
CHAI
|
UWANJA WA KOLIMBA
|
MKUU WA WILAYA
|
|
1:00 - 1:30 ASB
|
0 |
MSAFARA WA MWENGE WA UHURU KUELEKEA ENEO LA MAKABIDHIANO
|
UWANJA WA KOLIMBA
|
MKUU WA WILAYA
|
|
1:30 - 2:00 ASB
|
12 |
ITIFAKI YA MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU
|
KIWANJA CHA SHULE YA MSINGI VUMILIA
|
MKUU WA WILAYA YA KALIUA NA MKUU WA WILAYA YA URAMBO
|
|
2:00 - 2:30 ASB
|
0 |
MSAFARA WA MKUU WA WILAYA KALIUA KURUDI KALIUA
|
KIWANJA CHA SHULE YA MSINGI VUMILIA
|
MKUU WA WILAYA KALIUA
|
|
JUMLA YA UMBALI KM
|
97.5 |
|
|
|
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua