Wednesday 19th, February 2025
@UWANJA WA KOLIMBA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Dr. John Pima, anawataarifu wafanyakazi na wananchi wote kuwa sherehe za Mei Mosi kiwilaya zitafanyika katika uwanja wa Kolimba uliopo mjini Kaliua. Maadhimisho yataanza kwa maandamano yatakayoanza Stendi Mpya na kuishia viwanja hivyo vya Kolimba. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mh. Abel Yeji Busalama.
WOTE MNAKARIBISHWA
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua