• Malalamiko |
    • MAWASILIANO |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Kaliua District Council
Kaliua District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu, na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Usafi wa Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Legal Unity
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Fursa za Uwekezaji

Huduma za Elimu

ELIMU YA MSINGI

Wilaya ya kaliua ina jumla ya shule za msingi 100  zenye vyumba vya madarasaa  625.Idadi hii inafanya uwiano wa chumba kwa wanafunzi kuwa 1:104 ukilinganisha na uwiano wa kitaifa wa 1:45. Jumla ya vyumba vinavyohitajika ni 1,730 hivyo kufanya kuwa na upungufu wa vyumba 1,105.

Madawati ya wanafunzi yaliyopo ni 12,543 na hivyo kufanya uwiano wa dawati kwa wanafunzi kuwa 1:5 ukilinganisha na uwiano wa kitaifa ambao ni 1:3. Idadi ya walimu waliopo ni 1,826.kati yao wanawake ni 661 na wanaume ni 1,165.Idadi hii inafanya uwiano wa mwalimu kwa wanafunzi kuwa 1:39.Aidha uwiano wa vitabu kwa wanafunzi kwa sasa ni 1:4

Kwa upande wa nyumba za walimu, kuna nyumba 320 wakati mahitaji ni nyumba 1,820. Aidha matundu ya vyoo kwa wanafunzi yapo 835 ukilinganisha namahitaji ya matundu 3,231.
Kwa wastani udahili wa wanafunzi kiwilaya upo katika kiwango cha 67.2% wakati kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi wa darasa la VII ni 41% na darasa la IV ni 87%

Kwa upande wa elimu ya watu wazima, kuna wanafunzi 412 waliojiunga na madarasa ya MEMKWA. Aidha Wilaya ina chuo 1 cha ufundi stadi (VETA) ambacho kiko eneo la Ulyankulu.
Kiwango cha watu wanaojua kusoma na kuandika katika umri wa miaka 5 na kuendelea ni 77%. Jitihada zaidi zinahitajika ili kuboresha huduma za elimu katika Wilaya ya kaliua.


ELIMU YA SEKONDARI

Wilaya ya kaliua ina jumla ya shule za sekondari 14 zenye vyumba vya madarasa 110. Idadi hii ya vyumba vya madarasa inafanya uwiano wa darasa kwa wanafunzi kuwa 1:57 ukilinganisha na uwiano wa kitaifa ambao ni 1:40 hivyo kufanya wilaya kuwa na upungufu wa madarasa 50.

Kati ya Kata 28 za kielimu zilizopo,ni kata 13 tu ndizo zenye shule za sekondari wakati sera ya elimu ni kila kata kuwa na shule ya sekondari.Ujenzi wa shule za sekondari katika Kata 7 unaendelea.Kata ambazo ujenzi unaendele ni pamoja na Kamsekwa, Silambo, zugimulole, Igwisi, Kanoge, Seleli na Sasu Kwa upande wa nyumba za walimu,kuna jumla ya nyumba 63 wakati mahitaji halisi ni 413. Maabara zilizopo kwa sasa ni 42 ambapo kwa shule zilizopo zinatosheleza mahitaji.

Idadi ya walimu wa sekondari waliopo ni 413 na kati yao walimu 278 ni wanaume na 135 ni wanawake. Idadi hii ya walimu inafanya uwiano wa mwalimu kwa wanafunzi kuwa 1:16. Uwiano wa kitabu kwa wanafunzi ni 1:2 kwa vitabu vya masomo ya sayansi na 1:3 kwa masomo ya sanaa. Idadi ya viti vya wanafunzi vilivyopo ni 6,287 na matundu ya vyoo yaliyopo ni 153.

Kwa upande wa mabweni, Wilaya ina jumla ya mabweni 17 kati ya mahitaji ya mabweni 99. Aidha kiwango cha wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito ni 0.04%.Kwa wastani ufaulu wa mitihani ya taifa kwa wanafunzi wa kidato cha nne ni 69.62%,kidato cha sita ni 96% wakati ufaulu kwa kidato cha pili  uko katika kiwango cha 79%. Jitihada zaidi zinahitajika ili kuboresha ubora wa elimu ya sekondari katika Wilaya ya Kaliua.


 

takwimu zaidi

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI KALIUA DC MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II November 17, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • Ona zote

Habari za Hivipunde

  • MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA ANAWAKARIBISHA WATUMISHI WOTE WA AJIRA MPYA

    June 06, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI

    July 05, 2022
  • cvcvc

    June 02, 2022
  • cvcvc

    June 01, 2022
  • Ona zote

Video

Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Kaliua 2018
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mwanzo
  • TAMISEMI
  • Huduma
  • Historia
  • Fursa za Uwekezaji
  • UTUMISHI

Kurasa zinazofanana

  • Salary Slips Portal
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya RC Tabora
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti za Serikali
  • Baraza la Mitihani - NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

MAWASILIANO

    Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni

    Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua

    Simu: +255262965676/9

    Dawati la Uwekezaji:

    Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz

Dawati la Malamiko

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Service

Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua