ORODHA YA MIRADI INAYOENDELEA KUTEKELEZWA KUTOKA MWAKA WA FEDHA 2016 /2017 HADI SASA
NA |
JINA LA MRADI |
FEDHA TUMIKA |
CHANZO CHA FEDHA |
MAELEZO |
1.
|
Ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya
|
652,903,899 |
LGDG-CDG |
Ujenzi uko hatua ya mwisho ya ukamilishaji .
|
2.
|
Mradi wa programu ya Lipa kwa Matokeo (P4R) Awamu ya II
|
310,745,320.00 |
MMES-P4R |
Utekelezaji unaendelea katika hatua mbalimbali. Fedha zilihamishiwa katika akaunti za shule husika kwa ajili ya utekelezaji
|
3.
|
Ukamilishaji wa vyumba 6 vya madarasa sekondari ya Sasu Kata ya Ilege
|
22,913,000.00
|
LGDG-CDG
|
Utekelezaji unaendelea kwa hatua za ukamilishaji.
|
4.
|
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa sekondari ya Kapuya na Isike
|
27,079,500.00 |
LGDG-CDG
|
Utekelezaji umefanyika, kazi zipo katika hatua ya ukamilishaji
|
5.
|
Ukamilishaji wa nyumba ya Mwalimu katika Shule ya Sekondari Ugunga
|
11,000,000.00 |
LGDG-CDG
|
Kazi zilizobaki ni upigaji wa rangi kwenye vyoo.
|
6.
|
Kuchangia ukamilishaji wa vyumba 12 vya madarasa katika shule za msingi Mtapenda,Ushokola,Igombe,Busondi,King'wangoko, Katala, Ntyemo, Mnange, Ugansa ,Kombe, Tuombemungu na utantamke
|
63,000,000 |
LGDG-CDG
|
Vyumba 2 na ofisi s/m ushokola vimeezekwa na kuwekwa jamvi,chumba 1 cha darasa s/m King'wangoko na Busondi vimekamilika,Vyumba 2 vya madarasa s/m katala vimeezekwa na kuwekwa jamvi,Vyumba 3 vya madarasa na ofisi s/m Ugansa vimepigwa ripu,kuwekwa jamvi na fremu za madirisha,Chumba 1 s/m Tuombemungu kimekamilik na ,Vyumba 3 vya madarasa s/m Mnange vimeezekwan 3 vya madarasa s/m Igombe vinapigwa ripu.
|
7.
|
Ujenzi wa tenki 1 la kuvunia maji lenye ujazo wa lita 50,000 sekondari ya Uyowa na mkindo
|
9,879,000 |
LGDG-CDG
|
Ununuzi wa vifaa umefanyika na kazi ya ujenzi imeanza.
|
8.
|
Ujenzi wa tenki 1 la kuvunia maji lenye ukubwa wa lita 100,000 Sekondari ya Kaliua
|
13,965,500
|
LGDG-CDG
|
Ununuzi wa vifaa umefanyika. Ufyatuaji wa tofari 850 kwa ajili ya ujenzi wa tenki la lita 100,000 umefanyika na kazi ya uchimbaji wa shimo unaendelea.
|
9.
|
Kuendelea na ujenzi wa kituo cha afya Uyowa
|
6,000,000 |
LGDG-CDG
|
Ufyatuaji wa tofali unaendelea
|
10.
|
Ukamilishaji wa vyumba 3 vya madarasa sekondari ya kanoge
|
5,007,545 |
LGDG-CDG
|
Upigaji wa ripu katika vyumba 3 vya madarasa umefanyika,uwekaji wa sakafu na top za milango pia umefanyika
|
11.
|
Ukamilishaji wa zahanati Kijiji cha Ichemba
|
5,347,240 |
LGDG-CDG
|
Ujenzi uko hatua ya boma
|
12.
|
Ukamilishaji wa jengo la utawala sekondari ya Kata na ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu s/m Kombe
|
7,000,000
|
LGDG-CDG
|
Ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu s/m Kombe unaendelea
|
13.
|
Ukamilishaji wa vyumba 6 vya madarasa sekondari ya sasu Kata ya ilege
|
22,913,000
|
LGDG-CDG
|
Vifaa vya ujenzi vimenunuliwa.Vyumba 3 vya madarasa vimewekwa gysum,kupakwa rangi kwa ndani na kuwekwa sakafu. Ujenzi wa vyumba 2 vya maabara uko hatua ya kuweka lentel
|
14.
|
Ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu sekondari ya Ukumbisiganga
|
7,800,000 |
LGDG-CDG
|
Ukamilishaji upo hatua za mwisho.
|
15.
|
Ukamilishaji wa vyumba 3 shule ya sekondari Seleli
|
5,000,000 |
LGDG-CDG |
Maandalizi ya uezekaji na ukamilishaji wa vyumba 3 vya madarasa umefanyika
|
16.
|
Ukamilishaji wa ofisi ya Kijiji Nhwande
|
4,000,000 |
LGDG-CDG |
Maandalizi ya ukamilishaji wa ofisi ya Kijiji yamefanyika
|
17.
|
Ukamilishaji wa vyumba 3 sekondari ya Zugimulole
|
7,000,000 |
LGDG-CDG |
Vyumba 3 vya madarasa vimeezekwa na upigaji wa ripu unaendelea. Maandalizi ya ujenzi wa msingi kwa ajili ya vyumba 2 vya maabara unaendelea.
|
21.
|
Ukamilishaji wa chumba cha darasa s/m Ufukutwa
|
7,000,000 |
LGDG-CDG |
Ujenzi wa chumba cha darasa uko hatua ya upakaji wa rangi
|
22.
|
Ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu s/m Kaliua
|
6,000,000 |
LGDG-CDG |
Ufyatuaji wa tafari kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa unaendelea baada ya fedha kuombewa mabadiliko ya matumizi
|
23.
|
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa s/m katutubila kata ya Ushokola
|
6,000,000
|
LGDG-CDG
|
Ununuzi wa vifaa umefanyika na kazi inaendelea
|
24.
|
Ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu s/m Ibambo
|
6,000,000
|
LGDG-CDG
|
Ujenzi uko hatua ya uezekaji,uwekaji wa madirisha na milango
|
25.
|
Ukamilishaji wa vyumba 6 vya madarasa sekondari ya Silambo
|
6,123,074
|
LGDG-CDG
|
Vifaa vimenunuliwa na kazi ya ujenzi inaendelea
|
26.
|
Ukamilishaji wa zahanati ya Kijiji cha Nsimbo
|
6,499,128
|
LGDG-CDG
|
Maandalizi ya kuendelea na ujenzi yameanza kufanyika
|
27
|
Ukamilishaji wa vyumba 2 na vya madarasa na ofisi s/m Upendo kata ya Usimba
|
5,701,715
|
LGDG-CDG
|
Taratibu za ukamilishaji zinafanyika baada ya fundi kupatikana
|
28.
|
Ukamilishaji wa vyumba 3 vya madarasa na vyoo matundu 8 sekondari ya Igwisi
|
9,000,000 |
LGDG-CDG
|
Uwekaji wa dari umefanyika,uchongaji wa madirisha na milango unaendelea
|
29.
|
Ukamilishaji wa vyumba 3 vyamadarasa sekondari ya Kamsekwa
|
6,006,406 |
LGDG-CDG
|
Maandalizi ya ukamilishaji wa vyumba vya madarasa yamefanyika
|
30.
|
Ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu shule ya msingi makingi
|
5,858,233 |
LGDG-CDG
|
Ujenzi upo hatua ya upauaji
|
31.
|
Ujenzi wa matundu 8 ya choo s/m Shela kata ya Usenye
|
6,745,382 |
LGDG-CDG
|
Vifaa vimenunuliwa na ujenzi umeanza
|
32.
|
Kuchangia ukamilishaji wa zahanati Kijiji cha Nsimbo
|
10,000,000 |
LGDG-CDG (MMAM)
|
Utungiliaji,uwekaji wa fremu za milango na madirisha umekamilika.kazi ya upigaji wa ripu inaendelea
|
33.
|
Ukamilishaji wa nyumba ya mganga zahanati ya Usindi
|
9,000,000 |
LGDG-CDG (MMAM)
|
Ukamilishaji wa nyumba ya mganga uko hatua ya upakaji wa rangi
|
34.
|
Kuchangia ujenzi wa zahanati Imalampaka
|
9,000,000
|
LGDG-CDG (MMAM)
|
Ujenzi uko hatua ya kupiga blandering na upigaji wa ripu
|
35.
|
Ukamilishaji wa zahanati ya kasungu
|
8,000,000
|
LGDG-CDG (MMAM)
|
Upigaji wa ripu ndani na nje umefanyika
|
36.
|
Ujenzi wa nyumba ya mtumishi na choo zahanati ya Ibambo
|
9,000,000
|
LGDG-CDG (MMAM)
|
Ujenzi wa msingi umekamilika.Ujenzi wa kuta unaendelea
|
37.
|
Kuchangia ujenzi wa zahanati kijiji cha Ichemba
|
10,000,000
|
LGDG-CDG (MMAM)
|
Ujenzi uko hatua ya boma
|
38.
|
Ukamilishaji wa nyumba ya mtumishi zahanati ya Seleli
|
10,000,000
|
LGDG-CDG (MMAM)
|
Ujenzi uko hatua ya blandering na upigaji wa ripu.
|
39.
|
Kuchangia ujenzi wa zahanati kijiji cha Usonga
|
10,000,000 |
LGDG-CDG (MMAM)
|
Ufyatuaji wa tofari 2,600 umefanyika na kazi ya ujenzi wa kuta imeanza.
|
40.
|
Ujenzi na ununuzi wa Mashine za Viwanda vidogo vya usindikaji wa zao la alizeti katika Vijiji vya Kanindo, Usangi, Zugimulole na Wachawaseme
|
40,000,000.00 |
LGDG-CDG
|
Fedha zimehamishiwa katika akaunti za vikundi.Mchanga,mawe na uchimbaji na upangaji wa mawe kwenye msingi umefanyika na kazi inaendelea. .Taratibu za manunuzi kwa kijiji cha Mkiligi zinaendelea
|
41.
|
Ujenzi wa visima vya maji josho la Limbula na Kashishi
|
20,000,000.00 |
LGDG-CDG
|
Ujenzi wa visima 2 vya futi 20 kijiji cha Limbula unaendelea. .Usombaji wa mawe,mchanga na kokoto Kijiji cha Kashishi umefanyika na taratibu za manunuzi zinaendelea
|
42.
|
Utekelezaji wa shughuli za mfuko wa Jimbo la kaliua
|
60,114,000 |
Mfuko wa Jimbo
|
Jumla ya miradi 18 ya vijiji imechangiwa na iko hatua mbalimbali za utekelezaji
|
43.
|
Utekelezaji wa shughuli za mfuko wa Jimbo la Ulyankulu
|
32,795,000 |
Mfuko wa Jimbo
|
Jumla ya Miradi 17 ya maendeleo ya vijiji imechangiwa na iko hatua mbalimbali za utekelezaji
|
44.
|
Uchongaji wa barabara za Kaliua mjini-Ulindwanoni-Kamsekwa, Imalamihayo-Usimba, Kazaroho-usimba
|
129,262,600.00 |
Mfuko wa barabara
|
Uchongaji wa barabara umefanyika
|
45.
|
Kingwangoko-usonga-kaliua, uyowa-nsungwa, kashishi-seleli-kingwangoko
|
60,125,413.00 |
Mfuko wa barabara
|
Uchongaji wa barabara umefanyika
|
45.
|
Kashishi-nkutu, mwendakulima-nyasa, ichemba-kanoge-mwongozo
|
124,134,472.00 |
Mfuko wa barabara
|
Utekelezaji umefanyika
|
46.
|
Uchongaji wa barabara za Ulyankulu-Igunguli
|
3,100,001.00
|
Mfuko wa barabara
|
Uchongaji wa barabara umefanyika
|
47.
|
Uchongaji wa barabara za Mwongozo-Umanda-Chesa
|
13,300,000.00 |
Mfuko wa barabara
|
Utekelezaji umefanyika
|
48.
|
Uchongaji wa barabara za Uyowa-Mwendakulima-Nsungwa
|
9,000,000.00 |
Mfuko wa barabara
|
Uinuaji wa tuta na umwagaji wa changarawe umefanyika
|
49.
|
Uchongaji wa barabara za Ulyankulu-Nsungwa
|
4,000,000.00 |
Mfuko wa barabara
|
Utekelezaji umefanyika
|
50.
|
Uchongaji wa barabara za Ulindwanoni-Ukobelo-Kamsekwa
|
4,000,000.00 |
Mfuko wa barabara
|
Usafishaji wa eneo na uchongaji wa barabara umefanyika
|
51.
|
Uchongaji wa barabara za Ulyankulu-Igunguli
|
11,900,000.00 |
Mfuko wa barabara
|
Ujenzi wa makalvati umefanyika
|
52.
|
Uchongaji wa barabara za Uyowa(Mwendakulima)-Nsungwa
|
16,000,000.00 |
Mfuko wa barabara
|
Kazi zimefanyika
|
53.
|
Uchongaji wa barabara za Kigoma Jct-Usinge-Maboha
|
15,070,000.00 |
Mfuko wa barabara
|
Kazi imefanyika
|
54.
|
Uchongaji wa barabara za Ulyankulu-Nsungwa
|
7,890,000.00 |
Mfuko wa barabara
|
Kazi zimefanyika
|
55.
|
Uchongaji wa barabara za Ugunga-Limbula
|
14,000,000.00 |
Mfuko wa barabara
|
Kazi zimefanyika
|
56.
|
Uchongaji wa barabara za Ulyankulu-Igunguli
|
40,900,000 |
Mfuko wa barabara
|
Umwagaji wa changarawe umefanyika
|
57.
|
Uchongaji wa barabara za Kaliua Mjini
|
31,200,000.00 |
Mfuko wa barabara
|
Uchongaji wa barabara na umwagaji wa changarawe umefanyika
|
58.
|
Uchongaji wa barabara za Ulindwanoni-Ukobelo-Kamsekwa
|
13,300,000.00 |
Mfuko wa barabara
|
Kazi imekamilika
|
59.
|
Uchongaji wa barabara za fukutwa-Tuombemungu
|
20,520,000.00 |
Mfuko wa barabara
|
Kazi ya kuinua tuta na kumwaga changarawe imefanyika
|
60.
|
Ujenzi wa kalvati lenye ukubwa wa 600mm culverts 7lines Ulyankulu-Igunguli
|
19,600,000 |
Mfuko wa barabara
|
Ujenzi wa kalvati lm21 umefanyika
|
61.
|
Ujenzi wa kalvati lenye ukubwa wa 600mm culverts 3lines Ufukutwa-Tuombemungu
|
8,400,000 |
Mfuko wa barabara
|
Ujenzi wa kalvati lm21 umefanyika
|
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua