Monday 25th, January 2021
@Pozamoyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kaliua anawatangazia wananchi wote na wafanyabiashara kwa ujumla kuhudhuria UZINDUZI na kutumia fursa ya mnada huu ambao unazinduliwa leo tarehe 25 Oktoba 2018 na utakuwa ukifanyika kila alhamisi ya wiki. Mnada huo utakuwa unafanyika katika eneo la Pozamoyo kilometa nne kuelekea Ukumbisiganga.
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua